SABABU MECHI S.B.S V YANGA/AZAM V SIMBA KUSOGEZWA MBELE
KWENYE mechi za Kombe la Azam Sports Federation hatua ya nusu fainali ratiba zimezogezwa mbele kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF). Mchezo Kati ya Singida Big Stars dhidi ya Yanga ulitarajiwa kuchezwa Mei 7, Uwanja wa Liti utapangiwa tarehe nyingine. Taarifa imeeleza kuwa Yanga inayoshiriki Kombe la Shirikisho Afrika ikiwa…