NYOTA WENYE SIFA HIZI KUSAJILIWA SIMBA,KOCHA AMESEMA

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba ameweka wazi kuwa anahitaji kupata viungo wengine wawili wa kazi kwenye kikosi hicho ili kuongeza ushindani wa namba. Timu hiyo imepishana na ubingwa ambao umekweda kwa watani zao wa jadi Yanga. Sifa za nyota ambao anawahitaji ni kama ilivyo kwa kiungo mshambuliaji Sadio Ntibanzokiza mwenye mabao 10 na pasi…

Read More

TEN HAG: MANCHESTER UNITED LAZIMA IWEKEZE

KOCHA Mkuu wa Manchester United, Erik ten Hag amesema kwamba Manchester United lazima wawekeze ikiwa wanataka kusalia katika nafasi nne za juu za Premier League. Ten Hag ameirudisha United kwenye Ligi ya Mabingwa kwa mara ya kwanza huku pia akishinda Kombe la Carabao. Lakini kocha huyo alikuwa na wachezaji watatu pekee waliosajiliwa kwa mkopo katika…

Read More

KUSHINDWA LEO MWANZO WA KUPAMBANA KESHO

MAISHA ya mpira yanahitaji umakini mkubwa kwa kila mmoja kupambana kutimiza malengo ambayo yapo kwenye timu husika na inawezekana licha ya kwamba msimu unakaribia kufika ukingoni. Tumeona kwamba kila timu imefanya kazi yake kwa kupambana kufikia malengo na wapo ambao walikwama na wengine wanasubiri mpaka mechi mbili za mwisho kukamilisha hesabu huku Yanga wakiwa wametwaa…

Read More