
VIDEO:KUMBE YANGA WANAJUA MBINU NA UBORA WA WAARABU
BEKI wa Yanga Dickson Job ameweka wazi kuwa wanatambua ubora wa wapinzani wao USM Alger na wamejiandaa kufanya kazi nzuri kwenye kuzuia kesho mchezo wa hatua ya fainali Kombe la Shirikisho Afrika, Uwanja wa Mkapa