YAJUE MAJEMBE YA KAZI NDANI YA SIMBA
MAJEMBE saba yanayovuja jasho la haki ndani ya kikosi cha Simba yamewapa kicheko Simba wakiamini kuwa hawajabahatisha kupenya kwenye orodha ya kuwania tuzo bali ubora umewabeba. Ipo wazi kwamba Yanga ni mabingwa wa msimu wa 2022/23 huku Simba ikigotea nafasi ya pili. Pia Yanga Mei 28 2023 inakwenda kucheza mchezo wa fainali ya Kombe la…