YANGA HAO FAINALI, WAILIZA SINGIDA BIG STARS LITI

MFUNGAJI mwenye kasi ya hatari kuwatesa makipa ndani ya Bongo msimu wa 2022/23 amepachika bao pekee la ushindi katika hatua ya nusu fainali ya pili ya Azam Sports Federation yupo Yanga. Anaitwa Fiston Mayele amemtungua Benedick Haule wa Singida Big Stars dakika ya 82 na kubadali usomaji wa ubao kwenye mchezo huo. Mpaka inagotea dakika…

Read More

AZAM FC YAIVUTIA KASI COASTAL UNION

KOCHA msaidizi wa Azam FC, Kali Ongala amesema kuwa wanautazama kwa umuhimu mchezo wao ujao wa ligi baada ya kupoteza dhidi ya Namungo. Katika mchezo uliopita Azam FC ilipoteza pointi tatu dhidi ya Namungo kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex ilipopoteza kwa kufungwa mabao 2-1. Ongala amesema kuwa watafanyia kazi makosa ambayo yamepita kupata…

Read More

SINGIDA BIG STARS 0-0 YANGA

UWANJA wa Liti inapigwa nusu fainali ya Azam Sports Federation ya kibabe. Singida Big Stars 0-0 Yanga kila timu ikipambana kusaka ushindi. Mshindi wa mchezo wa leo anakwenda kumenyana na Azam FC iliyotangulia katika hatua ya fainali mapema kabisa. Azam FC ilipata ushindi wa mabao 2-1 Simba mchezo uliochezwa Uwanja wa Nangwanda Sijaona.

Read More

KINAWAKA LEO NUSU FAINALI SINGIDA BIG STARS V YANGA

BENCHI la ufundi la Singida Big Stars limeweka wazi kuwa lipo tayari kwa ajili ya mchezo wa leo wa nusu fainali Azam Sports Federation dhidi ya Yanga. Timu hiyo inayonolewana Kocha Mkuu, Hans Pluijm inapambana na mabingwa watetezi wa taji hilo Yanga chini ya Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi. Pluijm amesema kuwa wanatambua umuhimu wa mchezo…

Read More