![MAKIPA BONGO MAKOSA MUHIMU KUFANYIA KAZI](https://salehjembe.co.tz/wp-content/uploads/2023/05/Metacha-Mask.jpg)
MAKIPA BONGO MAKOSA MUHIMU KUFANYIA KAZI
MAKIPA wengi wamekuwa wakiingia kwenye lawama kutokana na kufungwa mabao ambayo yanaleta maswali baada ya mchezo husika. Hii imekuwa ikiwakumba makipa wote wale wageni na hawa makipa wazawa nao wamekuwa kwenye kasumba hii jambo ambalo halipendezi. Ukweli upo wazi kwamba mpira ni mchezo wa makosa lakini yanapozidi ni muhimu kufanyia kazi na kila mmoja kutimiza…