MGUNDA: BAHATI YAO, YANGA WANGEKULA ZA KUTOSHA
KOCHA Msaidizi wa Simba, Juma Mgunda, ametamba gemu plani yao ndio imewapa matokeo mazuri ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga akisema kwamba ushindi huo ni mdogo kwani kama washambuliaji wao wangekuwa makini, basi Yanga wangekufa nyingi. Simba juzi ilipata ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa…