Blackjack Live Ni Sloti Rahisi Kushinda Hela Meridianbet

Sloti ya Blackjack Live      Kasino ya Mtandaoni Meridianbet kwa kushirikiana Expanse Studios wamekuja na sloti ya kijanja ya Blackjack Live/ mchezo wa karata ni sloti yenye maudhui na sheria za Ulaya unaochezeshwa mubashara kwakutumia kibunda chenye karata 8. Mchezo wa Blackjack Live ni mchezo unaopendwa na kuchezwa sana ulimwenguni. Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet inakupa burudani na ushindi kupitia sloti ya Blackjack…

Read More

BRIGHTON YACHAPWA UGENINI

WAKIWA ugenini wameshuhudia ubao ukisoma Nottm Forest 3-1 Brighton kwenye mchezo wa Ligi Kuu England. Ilikuwa dakika ya 45 alijifunga Pascal Grob, Danilo dakika ya 69 na Morgan Gibbs-White dakika ya 90. Ni Facundo Buonanotte dakika ya 38 alipachika bao ndani ya City Ground. Nottm Forest imecheza mechi 33 ikiwa na pointi 30 huku Brighton…

Read More

KIMATAIFA NGOMA NI NGUMU SIO SIMBA,YANGA

NGOMA ni nzito kwa wawakilishi wa Tanzania, Simba na Yanga kwenye anga la kimataifa kutokana na kilatimu kuwa imara kwenye ushambuliaji huku Simba ikiwa na tatizo kwenye ulinzi. Roberto Oliveira raia wa Brazil anakiongoza kikosi cha Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika huku Nasreddine Nabi raia wa Tunisia yupo na Yanga kwenye Kombe la Shirikisho…

Read More

NYOTA HAWA AZAM FC WAANDALIWA KUIMALIZA SIMBA

MASTAA wawili ndani ya kikosi cha Azam FC kwenye safu ya ushambuliaji wanaandaliwa kuimaliza Simba kwenye hatua ya nusu fainali. Mabingwa watetezi wa taji hilo ni Yanga ambao walipata ushindi dhidi ya Coastal Union ya Tanga kwenye mchezo wa fainali. Ni nusu fainali ya Kombe la Azam Sports Federation mchezo unaotarajiwa kuchezwa Mei 6,2023 pale…

Read More

MITAMBO YA KAZI HII HAPA SIMBA YATAJWA

ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema uwepo wa nyota kama Clatous Chama, Saido Ntibanzokiza, Kibu Dennis pamoja na wachezaji wengine wote wa Simba unampa nguvu ya kuamua nani ataanza kikosi cha kwanza na kupata matokeo. Ni dakika 1,710 ambazo ni mechi 19 mfululizo za ligi kocha huyo akishirikiana na Juma Mgunda wameongoza bila kufungwa…

Read More

WASHIKA BUNDUKI MAMO MAGUMU, CITY WAPIGA 4G

MANCHESTER City wakiwa Uwanja wa Etihad walibaki na pointi zote tatu muhimu dhidi ya Arsenal. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Manchester City 4-1 Arsenal katika mchezo wa Ligi Kuu England. Kevin De Bruyne alipachika mabao mawili dakika ya 7,54 huku John Stones alipachika bao moja dakika ya 45 na msumari wa nne Mali ya…

Read More

BALEKE, MAYELE WAPEWE TU MAUA YAO

“WASHA Wifi na usizime Data, hawa ni Wekundu wa Msimbazi Simba, wanaendelea palepale walipoishia, Jean Baleke namna ambavyo anafanya, ndivyo ambavyo anaendeleza kwenye Dimba la Benjamin Mkapa,” alisikika akiunguruma mtangazaji wa kituo cha ZBC2, Ghalib Mzinga akisherehesha bao la Baleke dhidi ya Wydad Casablanca. Ndiyo, Jumamosi iliyopita kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam…

Read More

MBEYA CITY HAWAJAKATA TAMAA

LICHA ya kupoteza mchezo wao uliopita dhidi ya Kagera Sugar, benchi la ufundi la Mbey City limebainisha kuwa bado kuna nafasi ya kubaki kwenye ligi. Kwenye mchezo huo uliochezwa Aprili 24 bao pekee la Kagera Sugar lilipachikwa kimiani na Ally Ramadhan, ‘Ufudu’ likamshinda kipa wa Mbeya City Haroun Mandanda ilikuwa dakika ya 88. Timu hiyo…

Read More