VIDEO:MWAKINYO KUZICHAPA NA TWAHA/AFUNGUKIA ISHU YA SUMU
MWAKINYO kuzichapa na Twaha afungukia ishu ya sumu
MWAKINYO kuzichapa na Twaha afungukia ishu ya sumu
WAKATI wachezaji wa Simba wakitarajia kuanza mazoezi leo Aprili 18,2023 kwa ajili ya mechi ya kwanza ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad Club Athletic ya Morocco, wadhamini wakuu wa timu hiyo, kampuni ya michezo ya kubahatisha ya M-Bet Tanzania imekabidhi bonasi ya Sh milioni 100. Wachezaji wa Simba walikuwa kwenye…
ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa kupoteza mchezo wao dhidi ya Simba sio mwisho wa kazi maisha lazima yaendelee. Kabla ya mchezo Aprili 16 Kamwe alimwambia Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba Ahmed Ally kuwa wiki ya Jumatatu ya Aprili 17/2023 itakuwa ni ya masimango kwa mmoja huku mwingine akiwa na…
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa kwa sasa umeanza maandalizi kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad ambao utachezwa Uwanja wa Mkapa. Huo ni mchezo wa hatua ya robo fainali Ligi ya Mabingwa ambapo Simba inaipeperusha bendera ya Tanzania kwenye anga hilo. Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba, Ahmed…
Siku zote kwenye Maisha unaambiwa usipende sana kuomba hela ya kula bali omba kazi, huwa iko hivi hata uchawa una mwisho wake kama huwezi kujishughulisha na kufanya kazi. Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet imekuja na promosheni kabambe itakayokupatia hela kirahisi kwa dau dogo sana. Promosheni ya kasino ya mtandaoni inakuja na kiasi cha Tsh Milioni…
FISTON Mayele moja ya washambuliaji wenye akili na wanalijua lango dhidi ya Simba Aprili 16 anashikilia rekodi ya kupiga mashuti mengi yaliyolenga lango. Ni ubora wake kwenye kutafuta kufunga kumemfanya kipa wa Simba aonekane ni bora kutokana na kuwa makini kwenye kuokoa hatari hizo. Ingekuwa angekwama kuokoa hatari alizopigiwa na Mayele ingekuwa ni habari nyingine…
LEGEND kwenye ulimwengu wa uandishi wa Habari za Michezo Bongo, Jembe amebainisha kuhusu mchez wa Kariakoo Dabi Simba 2-0 Yanga akizungumzia mabao pamoja na kocha wa Yanga Nasreddine Nabi
Mayele ampa mamilioni kipa Simba ñdani ya Spoti Xtra Jumanne