YANGA 0-0 GEITA GOLD

UBAO wa Uwanja wa Azam Complex mchezo wa hatua ya robo fainali Kombe la Azam Sports Federation ngoma ni nzito. Hakuna mbabe ambaye amepata bao la kuongoza ubao unasoma Yanga 0-0 Geita Gold. Moja ya mchezo ambao una ushindani mkubwa ambapo ni nyota Clement Mzize pekee ameonyeshwa kadi ya njano. Kadi hiyo imezua maswali kutokana…

Read More

POLISI TANZANIA MAJANGA TUPU

HAKUKUWA na usalama mkubwa kwa Polisi Tanzania walipokuwa ndani ya Uwanja wa Liti baada ya kuacha poiti zote tatu. Ni majanga matupu kwa Polisi Tanzania wanaotafuta matumaini ya kucheza mchezo wa mtoano na kujinasua kutoka kwenye nafasi ya mwisho kwenye msimamo. Aprili 7 ubao ulisoma Singida Big Stars ubao ulisoma Singida Big Stars 3–0 Polisi…

Read More

AZAM FC YASEPA NA POINTI ZA MTIBWA SUGAR

AZAM FC imeibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mtibwa Sugar kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Mabao ya Issah Ndala dakika ya 39 na lile la pili ni mali ya Idd Suleiman dakika ya 60. Bao la Mtibwa Sugar dakika ya 75 walikwama kuweka usawa mpaka ilipogota dakika ya 90 kwenye mchezo…

Read More