SIMBA YATINGA NUSU FAINALI KWA 5G
SIMBA inatinga hatua ya nusu fainali Azam Sports Federation kwa ushindi wa 5-1 Ihefu. Ni mchezo ambao umechezwa Uwanja wa Azam Complex huku ukishuhudia matumizi makubwa ya nguvu kwa wachezaji wa pande zote mbili. Mabao ya Simba yamepachikwa na Jean Baleke ambaye ametupia mabao matatu kwenye mchezo wa leo. Saido Ntibanzokiza katupia bao moja kipindi…