SINGIDA BIG STARS HAO NUSU FAINALI

SINGIDA Big Stars imekata tiketi ya kutinga hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation kwa ushindi wa mabao 4-1 Mbeya City Mchezo huo umechezwa Uwanja wa Liti ikiwa ni hatua ya robo fainali. Watupiaji wa Singida Big Stars ni Bruno Gomes katupia kambani mara mbili Bright Adjei kamba moja Sawa na Francy Kazadi….

Read More

TP MAZEMBE 0-0 YANGA

UWANJA wa TP Mazembe ubao unasoma TP Mazembe 0-0 Yanga ukiwa ni mchezo wa hatua ya makundi. Yanga wametinga hatua ya robo fainali tayari wanapambana kumaliza nafasi ya kwanza hatua ya makundi. TP Mazembe wao hawana cha kupoteza zaidi ya kutaka kulipa kisasi kwa mchezo ambao walipoteza Uwanja wa Mkapa ubao uliposoma Yanga 3-1 Yanga.

Read More

YANGA KUITEKA MAZEMBE

MENEJA Walter Harrison ameweka wazi kuwa watawateka wapinzani wao TP Mazembe na kuchukua pointi tatu ugenini kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya makundi. Leo Yanga ikiwa inaongoza kundi D na pointi 10 baada ya kucheza mechi tano ina kete ya mwisho dhidi ya TP Mazembe mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mazembe. Ipo wazi…

Read More

SIMBA NDANI YA DAR

KIKOSI cha Simba kimewasili salama Dar baada ya kutoka nchini Morocco walipokuwa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba ilikuwa na kete ya mwisho ilikuwa dhidi ya Raja Casablanca ugenini na ilishuhudia ubao wa Mohamed V ukisoma Raja 3-1 Simba. Bao la Simba lilipachikwa na Jean Baleke dakika ya 48 katika mchezo ambao nahodha…

Read More

WAKONGWE WAMEGOMEA KUSTAAFU, WANAPIGA KAZI

MCHEZO wa soka la kisasa unakua kwa kasi na wanasoka wanaonekana kuwa wachanga kila wakati, lakini bado kuna nafasi kwa wahenga kuendelea kuchangia uzoefu wao. Pamoja na maendeleo ya mara kwa mara katika teknolojia na lishe, sasa imekuwa kawaida kwa wanasoka kucheza hadi mwisho wa miaka thelathini na hata hadi arobaini. Hapa kuna wachezaji ambazo…

Read More

CAF YAIPA JEURI KUBWA SIMBA

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa tuzo ambazo wamekomba wachezaji wake kwenye mashindano ya kimataifa yanayoandaliwa na Shirikisho la Soka Afrika, (CAF) kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kumewaongezea hali ya kujiamini. Chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira raia wa Brazil imetinga hatua ya robo fainali huku ikitunguliwa nje ndani na Raja Casabalanca. Ni Clatous Chama…

Read More