
SIMBA KAMILI KUIKABILI RAJA CASABLANCA
ROBERTO Oliveira, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa ameidaa vizuri timu kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Raja Casablanca ya Morocco. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa nchini Morocco Machi 31 saa 4:00 usiku kwa Afrika Mashariki hapa nyumbani Tanzania itakuwa ni Aprili Mosi saa 7:00 usiku. Miongoni mwa wachezaji ambao wapo…