WAWILI WAONGEZWA STARS

RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania, Wallace Karia amesema wachezaji wawili wazoefu kwenye timu ya Taifa ya Tanzania Shomari Kapombe na Mohamed Hussein wameongezwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania. Hiyo ikiwa ni baada ya timu ya Stars kukamilisha mchezo wa kwanza ugenini dhidi ya Uganda na kuibuka na ushindi wa bao 1-0….

Read More

NGOMA NZITO KWA SIMBA NA YANGA KIMATAIFA

NGOMA ni nzito kwa makocha wawili wa mitaa ya Kariakoo, Robeto Oliveira wa Simba na Nasreddine Nabi wa Yanga kwenye anga za kimataifa kutokana na kila mmoja kutusua na wachezaji wake kwenye anga la utupiaji. Ni wale wa Simba wanaongoza kumsimamisha Rob ambapo ni mara 9 alinyanyuka kwenye benchi kufurahia mabao yaliyozamishwa kimiani. Mwamba wa…

Read More

AZAM FC KUPASHA MISULI NA KMC

MATAJIRI wa Dar, Azam FC wanatarajia kumenyana na KMC Uwanja wa Azam Complex kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC kesho Machi 27. Timu hiyo imepoteza vigezo vya kutwaa ubingwa wa ligi baada ya kupoteza mchezo uliopita dhidi ya Ihefu na kugotea na pointi zao 47. Mkononi wana kete tano kukamilisha mzunguko wa pili ambapo…

Read More

WAMEVUJA JASHO KINOMANOMA

STAA wa Manchester United, Bruno Fernandes ametumia dakika nyingi zaidi uwanjani kuliko mchezaji mwingine yeyote barani Ulaya msimu huu. Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 28 amecheza asilimia 92 ya dakika zote ambazo Kocha Erik ten Hag amewaongoza Mashetani msimu huu na alianza mechi zote isipokuwa tatu kati ya 45 za mashindano yote. Kama ilivyokuwa…

Read More