KOCHA SIMBA ANAAMINI VIWANGO VINAZIDI KUPANDA
KOCHA Mkuu wa Simba, Roberto Oliveira amesema kuwa maendeleo ya wachezaji wake pamoja na viwango vyao vinazidi kuwa imara kila siku. Kocha huyo raia wa Brazil amebainisha kuwa anafurahishwa na uwezo wa kila mchezaji kwa namna anavyojituma kwenye kikosi. Ijumaa wachezaji wa Simba walianza mazoezi kwa ajili ya mchezo wao ujao wa Ligi ya Mabingwa…