HIKI HAPA KIKOSI CHA YANGA DHIDI YA TP MAZEMBE

HIKI hapa kikosi cha Yanga kitakachoanza kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya TP Mazembe, Uwanja wa Mkapa Diarra Djuma Shaban Joyce Lomalisa Bakari Mwamnyeto Dickson Job Khalid Aucho Jesus Moloko Yannick Bangala Fiston Mayele Mudhathir Yahya Kennedy Musonda Akiba Metacha Bacca Kibwana Mauya Sure Boy Farid Kisinda Aziz KI Clement Mzize Tags # kitaifa

Read More

SINGIDA BIG STARS YALAMBA DILI TAMU

UONGOZI wa Singida big Stars umepata dili tamu la kupata udhamini wa kampuni ya uuzaji mafuta nchini inayoitwa NASSCO Limited. Udhamini huo ni kwa upande wa ujazaji wa mafuta kwenye basi la timu hiyo inayoshiriki Ligi Kuu Bara ikiwa inatumia Uwanja wa Liti kwa mechi zake za nyumbani. Udhamini huo unaanza kufanya kazi kwenye mechi…

Read More

YANGA KUIKABILI TP MAZEMBE KIVINGINE

KOCHA Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi, amesema kuwa watabadili mbinu kwenye mchezo dhidi ya TP Mazembe, huku akija kwa utofauti kulingana na mchezo husika. Nabi amesema kuwa kila mchezo una mbinu zake tofauti kulingana na aina ya wapinzani wanaokwenda kukutana nao jambo linalowapa nguvu ya kuingia uwanjani kusaka ushindi. Leo, Yanga inatarajiwa kucheza mchezo wa…

Read More

AZAM FC KAMILI KUIVAA SIMBA KWA MKAPA

KIKOSI cha Azam FC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Kali Ongala kipo tayari kuelekea mchezo wake ujao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Simba. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Februari 21,Uwanja wa Mkapa ikiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili. Ni Azam FC waliitungua Simba kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza kwa bao 1-0 huku mtupiaji akiwa…

Read More

YANGA KUJA NA MBINU TOFAUTI KUIKABILI TP MAZEMBE

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa watabadili mbinu kwenye mchezo wao dhidi ya TP Mazembe huku akija kwa utofauti kulingana na mchezo husika. Nabi alikuwa benchi kwenye mchezo uliopita ugenini wa hatua ya makundi aliposhuhudia ubao ukisoma US Monastir 2-0 Yanga nchini Tunisia. Leo unatarajiwa kuchezwa mchezo wa pili dhidi ya TP Mazembe…

Read More

SIMBA YACHEZEWA MPIRA NA KUCHAPWA KWA MKAPA

MCHEZO wake wa kwanza ikiwa Uwanja wa Mkapa kwenye anga za kimataifa kwa mwaka 2023 inapoteza. Ni kipigo kinachovunja rekodi yake tamu ya kutofungwa ikiwa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 kusoma Simba 0-3 Raja Casablanca. Kipindi cha kwanza Raja Casablanca walianza kwa utulivu mkubwa na walipata bao moja la kuongoza huku Simba wakikosa…

Read More

HAKUNA MWENYE KAZI NYEPESI KIMATAIFA

HAKUNA mwenye unafuu kwa sasa sio Simba wala Yanga kwenye anga za kimataifa kutokana na mechi zao wote kuwa ngumu. Kwa mashabiki wakati huu lazima kuungana na kufanya kazi moja kushangalia timu zao huku wachezaji nao akili zao zikiwa kwenye mechi uwanjani. Dakika 90 ni za jasho kubwa kutokana na umuhimu wa pointi tatu kwa…

Read More