
MATHEO ANTHONY KUIKOSA RUVU SHOOTING
MATHEO Anthony, nyota wa KMC kesho anatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Jamhuri,Morogoro saa 10:00 jioni. Sababu za nyota huyo kuukosa mchezo huo ni kutokuwa fiti baada ya kupata maumivu. Ofisa Habari wa KMC, Christina Mwagala amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo…