MANCHESTER UNITED YATWAA CARABAO

KOMBE la Carabao mikononi mwa Manchester United baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Newcastle United Casemiro alianza kufunga dakika ya 33 na nyota Steven Batman alijifunga dakika ya 39. Mastaa wa Manchester united wamejawa na furaha tele kwa kutwaa taji hilo ambalo ni kubwa kwao. Nahodha Harry Maguire amekabidhwa taji hilo kwenye mchezo…

Read More

YANGA YAGAWANA POINTI KIMATAIFA

IKIWA Uwanja wa du 26 Mars nchini Mali imeshudia ubao ukisoma Real Bamako 1-1 Yanga. Mchezo wa leo ambao ni wa hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Yanga ilianza kupata bao la kuongoza dakika ya 60 kupitia kwa nyota wao Fiston Mayele. Mayele alipachika bao hilo akiwa nje kidogo ya 18 na kuwanyanyua mashabiki wa…

Read More

REAL BAMAKO 0-0 YANGA KIMATAIFA

UBAO wa Stade du 26 Mars, Mali kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika unasoma Real Bamako 0-0 Yanga. Ni mchezo wa hatua ya makundi ambapo timu zote mbili zipo kwenye msako wa pointi tatu muhimu. Wawakilishi kutoka Tanzania kwenye anga la kimataifa wameanza na washambuliaji wawili ambao ni Fiston Mayele na Kennedy Musonda. Kiungo…

Read More

CHELSEA IMEBUTULIWA HUKO

TOTTENHAM imesepa na pointi tatu muhimu katika mchezo wa Ligi Kuu England dhidi ya Chelsea. Mabao ya Oliver Skipp dakika ya 46 na Harry Kane dakika ya 82 yameipa ushindi Spurs. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Tottenham Hotspur umesoma Tottenham 2-0 Chelsea. Chelsea inabaki na pointi 31 ikiwa nafasi ya 10 huku…

Read More

KOSI LA YANGA DHIDI YA REAL BAMAKO KIMATAIFA

NI leo ndani Stade du 26 Mars, Bamako Yanga wanakibarua cha kusaka pointi tatu dhidi ya Real Bamako. Kikosi ambacho kinatarajiwa kuanza kipo namna hii:- Djigui Diarra Djuma Shaban Joyce Lomalisa Bakari Mwamnyeto Dickson Job Khalid Aucho Jesus Moloko Yannick Bangala Fiston Mayele Mudhathir Yahya Kennedy Musonda Akiba ni Metacha Mnata Doumbia Kibwana Mauya Sure Boy…

Read More

YANGA :TUNAHITAJI MAOMBI KIMATAIFA

IKIWA leo inatarajiwa kutupa kete yake ya tatu kimataifa dhidi ya Real Bamako mchezo wa Kombe la Shirikisho Afrika benchi la ufundi limeomba dua kutoka kwa Watanzania. Yanga ipo nafasi ya pili kwenye kundi D baada ya kucheza mechi mbili imekusanya pointi tatu sawa na TP Mazembe wakiwa tofauti kwenye mabao ya kufunga na kufungana….

Read More

SIMBA NDANI YA DAR

BAADA ya kukamilisha dakika 90 za kimataifa ugenini tayari kikosi cha Simba kimerejea Dar. Februari 25,2023 kilishuka Uwanja wa St Mary’s kusaka pointi tatu dhidi ya Vipers ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Vipers 0-1 Simba huku mtupiaji akiwa ni Henock Inonga aliyepachika bao…

Read More

NABI:REAL BAMAKO NAWATAMBUA, MCHEZO UTAKUWA MGUMU

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga ameweka wazi kuwa anawafahamu wapinzani wake Real Bamako hivyo ataingia kwa tahadhari. Leo Februari 26 Yanga inatupa kete yake ya tatu kwenye hatua za kimataifa katika Kombe la Shirikisho hatua ya makundi. Kete ya kwanza Yanga ilipoteza ugenini dhidi ya US Monastir kisha ikpata ushindi dhidi ya TP Mazembe…

Read More