SIMBA KAMILI KUIVAA HOROYA KIMATAIFA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa upo tayari kwa ajili ya mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Horoya unaotarajiwa kuchezwa Februari 11,2023. Mchezo huo ni wa hatua ya makundi ambapo ni msako wa pointi tatu muhimu kusaka nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na…