SIMBA YATOSHANA NGUVU NA AL HILAL KWA MKAPA
MTOKO wa kifamilia kwa Simba ikiwa ni mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Al Hilal wametoshana nguvu Uwanja wa Mkapa. Baada ya dakika 90 ubao umesoma Simba 1-1 Al Hilal ambapo dakika 45 za mwanzo zilikuwa mali ya Al Hilal kisha Simba wakafanya kazi kubwa kipindi cha pili. Bao la Al Hilal limefungwa kwa…