YANGA YAICHAPA RHINO KIFURUSHI CHA WIKI

YANGA imetinga hatua ya 16 bora Kombe la Shirikisho kwa ushindi wa mabao 70-0 dhidi ya Rhino FC kwenye mchezo uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Vijana wa Rhino Rangers wameshuhudia mabao hayo dakika ya 7 kupitia kwa Dickson Ambundo, Kennedy Musonda dakika ya 15, Aziz KI dakika ya 19, Yannick Bangala dakika ya 26 n kiungo…

Read More

AZAM FC KUKIPIGA NA AL HILAL AZAM COMPLEX

AZAM FC inayonolewa na Kaimu Kocha Mkuu, Kali Ongala, ina kibarua cha kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Al Hila. Mchezo huo wa kimataufa unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Timu hiyo kwa sasa imeweka kambi Dar kwa ajili ya maandalizi ya mechi zake za kimataifa. Mbali na Azam FC pia Al Hilal itacheza na…

Read More

YANGA 5-0 RHINO RANGERS

UWANJA wa Mkapa dakika 45 za mwanzo ubao unasoma Yanga 5-0 Rhino Rangers. Ni mchezo wa Kombe la Shirikisho hatua ya 32 bora ambapo mshindi atatinga hatua ya 16 bora na Yanga ni mabingwa watetezi. Vijana wa Rhino Rangers wameshuhudia mabao hayo dakika ya 7 kupitia kwaDickson Ambundo, Kennedy Musonda dakika ya 15, Aziz KI…

Read More

TRY AGAIN: SIMBA HATUTAKUWA WANYONGE TENA, FURAHA INARUDI

MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ndani ya Simba, Salim Abdallah, ‘Tryagain’ amesema kuwa kwa namna ambavyo timu hiyo imejipanga hawatakuwa wanyonge tena bali furaha itakuwa ni mwendelezo. Hayo ameyasema leo kwenye mkutano wa Simba ambao una ajenda 13 ikiwa ni pamoja na ile ya uchaguz mkuu unaotarajiwa kufanyika leo Januari 29,2023. Kiongozi huyo amesema:-“Nawashukuru wanachama…

Read More

HAWA HAPA WANAWANIA NAFASI SIMBA, LEO NI LEO

LEO Jumapili Klabu ya Sima inatarajiwa kufanya mkutano mkuu wenye ajenda 13 ikiwemo suala la uchaguzimkuu wa kuchagua mwenyekiti na wajumbe watano wa Bodi ya Wakurugenzi. Katika uchaguzi huo wanaowania nafasi ya mwenyekiti ni Murtanza Mangungu anayetetea kiti chake na Moses Kaluwa. Wajumbe ni Seif Ramadhan Muba, Seleman Harub Said,Iddi Halifa Kitete,Issa Masoud Iddi,Abubabakar Zebo,Abdallah…

Read More

KUMUONA MAYELE, FARID MUSSA NI BUKU TANO

MABINGWA watetezi wa Kombe la Shirikisho Yanga chini ya Kocha Mkuu Nasreddine Nabi leo Januari 29,2023 wana kazi ya kusaka ushindi kwenye mchezo wa raundi ya tatu. Yanga inatarajiwa kumenyana na Rhino Rangers FC ambao nao wameweka wazi kuwa wanahitaji ushindi ili kutinga raundi ya 16 bora. Tayari wapinzani wao wakubwa ambao ni Simba, Singida…

Read More