
KUPATWA KWA PIRA DUBAI UWANJA WA MKAPA
DAKIKA 90 zilikuwa za kazi huku pira Dubai likionekana kupatwa tabu mbele ya Mbeya City ambao walionesha ushindani wakitaka kusepa na pointi. Dakika tatu ziliwatosha Mbeya City kusawazisha bao la Ntibanzokiza dakika ya 10 kupitia kwa Richardson Ngo’dya ambaye alitumia makosa ya mabeki wa Simba. Kipindi cha pili Simba ilipata bao lililoonekana kulalamikiwa na wachezaji…