USIKU WA KISASI YANGA YAWATUNGUA IHEFU
UBAO wa Uwanja wa Mkapa umesoma Yanga 1-0 Ihefu ikiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Bara. Ihefu watajilaumu wenyewe kwa kutunguliwa kwenye mchezo wa leo kutokana na makosa ambayo wameyafanya kipindi cha pili. Shukrani kwa Fiston Mayele ambaye alipachika bao pekee la ushindi dakika ya 63 akitumia makosa ya kipa wa Ihefu Fikirini Bakari kwenye…