
NYOTA KIBU AMKOSHA KOCHA MPYA SIMBA
ROBERT Oliviera Kocha Mkuu wa Simba amekoshwa na maufundi ya mshambuliaji wa timu hiyo Kibu Dennis. Katika mazoezi yaliyofanyika jana Januari 11, raia huyo wa Brazil alimchangua Kibu kuwa mchezaji bora wa siku hiyo na kumpa zawa. Kibu alikabidhiwa zawadi hiyo mbele ya wachezaji wa Simba wakiongozwa na nahodha John Bocco mwenye mabao 9 ndani…