SIMBA YAPANGA MIKAKATI YA UBINGWA AFRIKA
RAIS wa heshima wa Klabu ya Simba Mohammed Dewji amezungumza na wachezaji pamoja na benchi la ufundi na viongozi walioongozana na timu hiyo nchini Dubai. Hayo yote ameyafanya baada ya kuitembelea kambi ya Simba ya mazoezi nchini Dubai ambapo amepata nafasi ya kuongea na wachezaji na benchi la ufundi. Miongoni mwa mambo ambayo amezungumza Mo…