ONGALA APIGA HESABU KUIKABILI SIMBA
KALI Ongala, Kocha wa Washambuliaji ndani ya Azam FC amesema kuwa wamefanya maandalizi mazuri kwa ajili ya mchezo wao wa ligi dhidi ya Simba Kesho Azam FC ikiwa imetoka kupoteza kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya KMC itakabiliana na Simba, Uwanja wa Mkapa. Ongala amesema anatambua uimara wa Simba nao wanawaheshimu hivyo watawakabili kwa tahadhari….