
PRISONS:BADO TUNATENGENEZA TIMU
SHABAN Kazumba, Kocha Msaidizi wa Tanzania Prisons amesema kuwa bado wanatengeneza timu hivyo wana imani ya kuweza kufanya vizuri kwenye mechi zao zilizobaki. Ikiwa Uwanja wa Karume, Mara Machi 15,2022 ilikubali kushuhudia ubao ukisoma Biashara United 2-1 Tanzania Prisons. Ni mabao ya Deogratius Mafie kwa upande wa Biashara United yalipachikwa kimiani dakika ya 26 na…