KIPA SIMBA SC AINGIA ANGA ZA AZAM FC
INAELEZWA kuwa Klabu ya Azam FC ipo kwenye hesabu za kuinasa saini ya kipa namba mbili wa Simba, Beno Kakolanya. Mkataba wa kipa huyo ambaye aliongeza hivi karibuni miaka miwili unatarajiwa kugota ukingoni hivi karibuni. Taarifa inaeleza kuwa Beno ameahidiwa mshahara mkubwa zaidi ya anaolipwa ndani ya Klabu ya Simba pamoja na uhakika wa kuanza…