YANGA YAIBAMIZA COASTAL UNION,DUA KWA NKANE
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Coastal Union. Mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Mkapa, dakika 90 Yanga ilikuwa kwenye umiliki wa mpira jambo lililoipa Coastal Union kutoboa ngome iliyokuwa chini ya nahodha Bakari Mwamnyeto. Ni mabao ya Fiston Mayele ambaye ametupia mabao mawili na bao…