>

HAYA HAPA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRRIKA

MAKUNDI haya hapa ya Ligi ya Mabingwa Afrika ambapo kwa Tanzania inawakilishwa na Klabu ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Juma Mgunda:-

 Kundi A

A.Petroleos ya Angola

JS Kabylie ya Algeria

AS Vita Club ya DR Congo

Wydad Casablanca ya Morocco

Kundi B

Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini

Al Hilal ya Sudan

AS Vita Club ya DR Congo

Al Ahly ya Misri

Kundi C

Simba SC Tanzania

Vipers ya Uganda

Horoya AC ya Guinea

Raja Casablanca ya Morocco

Kundi D

Zamalek SC ya Misri

CR Belouizdad ya Algeria

Al Merikh ya Sudan

Esperance ya Tunisia