>

HII HAPA RATIBA YA YANGA KIMATAIFA

KLABU ya Yanga kwenye hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika imedondokea kundi D ambalo lina timu nne ikiwa ni pamoja na wawakilishi hawa kutoka Tanzania. Timu nyingine ambazo zipo kwenye Kundi D ni TP Mazembe, US Monastir na Real Bamako. Ikumbukwe kwamba US Monastri wao waliwafungashia virago RS Berkane huku Mazembe wao waliwahi kukutana…

Read More

KETE ZA MSIMBAZI KIMATAIFA ZIPO HIVI

WAWAKILISHI wa Tanzania, Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi wamedondokea kundi C. Droo ilichezeshwa nchini Misri Desemba 12,2022 ambapo kila mmoja amejua mpinzani wake atakuwa ni nani. Katika makundi hayo Simba ipo pamoja na timu za Raja Casablanca, Horoya na Vipers ya kutoka Uganda. Ratiba ya Simba kimataifa inatarajiwa kuwa namna hii:-Feb…

Read More