
SABABU ZA MUDA WA NYONGEZA KUWA KUBWA QATAR
TOKEA kuanza kwa michuano ya World Cup nchini Qatar Novemba 20,2022 kumekuwa na maswali mengi kwa wadau wa soka kutokana na ongezeko kubwa la muda wa ziada. Hii imetokana na mabadiliko waliyofanya Fifa katika muda huo. Sasa wanataka mpira uchezwe na dakika 90 zote zitumike. Maana yake ule muda wa kutazama VAR, muda wa mchezaji…