
DAVIES AWEKA REKODI, CANADA SAFARI IMEWAKUTA
ALPHONSO Davies ameweka rekodi yake ya kuwa nyota wa kwanza kufunga bao la mapema zaidi kwenye Kombe la Dunia Qatar 2022. Ilikuwa dakika ya 2 alipachika bao hilo lakini halikutosha kuipa pointi tatu timu yake kwa kuwa baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Khalifa ulisoma Croatia 4-1 Canada. Kwenye kundi F, Canada imetolewa…