
SIMBA YASEPA NA POINTI TATU, MANULA ATUNGULIWA
DAKIKA 90 zimekamilika Uwanja wa Ushirika Moshi na ubao umesoma Polisi Tanzania 1-3 Simba. Simba walianza kufunga mabao yote hayo matatu ambapo kipindi cha kwanza walifunga mabao mawili kupitia kwa John Bocco dakika ya 332 na bao la pili ni Moses Phiri dakika ya 43. Kipindi cha pili Polisi Tanzania waliongeza umakini na nguvu ya…