SIMBA WACHEZESHWA PIRA KUBWA NA KUGAWANA POINTI MBEYA
LICHA ya kiungo Mzamiru Yassin kufunga bao la kuongoza mbele ya Mbeya City ngoma ilikuwa nzito kwa timu hiyo kuvuna pointi tatu. Bao la utangulizi lilifungwa dakika ya 14 na kuwafanya Simba kwenda mapumziko wakiwa wanaongoza kwa bao 1-0. Ngoma ilipinduka kipindi cha pili ambapo kasi ya Mbeya City ilikuwa kubwa mwanzo mwisho kuikabili Simba….