YANGA KAMILI KUIVAA DODOMA JIJI
KUELEKEA mchezo wa kesho wa Ligi Kuu Bara kati ya Dodoma Jiji dhidi ya Yanga, benchi la ufundi la Yanga limeweka wazi kuwa kila kitu kipo sawa. Ni Nasreddine Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa namna ambavyo wanapata ushindi na kutopoteza mchezo morali na ari ya kupambana inaongezeka kutokana na mashabiki kushangilia. “Ni kitu…