VIDEO:MASTAA HAWA YANGA KUIKOSA SINGIDA BIG STARS
CEDRICK Kaze, kocha msaidizi wa Yanga ameweka wazi kuwa mchezo wao wa kesho dhidi ya Singida Big Stars utakuwa na ushindani mkubwa na watakuwa na chaguo sahihi kwenye kikosi cha kwanza huku akiwataja wachezaji ambao watakosa mchezo wa kesho