AZAM FC WATEMBEZA 4G
AZAM FC wameibuka na ushindi wa maao 4-3 kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Manungu, Moro. Kasi ya Azam FC ilianza kipindi cha kwanza ambapo walipata mabao yote hayo matatu yaliyowapa uongozi. Ni Idris Mbombo ambaye ametupia mabao mawili dakika ya 18 na 30 kwenye mchezo huo wakiwa ugenini….