
DODOMA JIJI KUUNDA BENCHI JIPYA LA UFUNDI
WALIMA Zabibu kutoka makao makuu ya Tanzania, Dodoma Jiji wamefikia makubaliano ya pande zote mbili kuvunja mkataba wa Masoud Djuma ambaye alikuwa ni kocha mkuu. Mbali na Djuma ni benchi lote la ufundi la timu hiyo limevunjwa kwa ajili ya kufanya maboresho upya. Ni Mohamed Muya huyu alikuwa ni kocha msaidizi ndani ya Dodoma Jiji…