DE BRUYNE NI NOMA LIGI KUU ENGLAND

STAA wa Manchester City, Kevin de Bryune anaweza kuingia kwenye vitabu vya rekodi ya Premier. Sababu kubwa itakayomfanya nyota huyo kuingia kwenye rekodi hiyo ni kutokana na kuanza kwa kasi msimu huu ndani ya kikosi hicho cha Pep Guardiola ambaye ni Kocha Mkuu. Nyota huyo amekuwa hapo kwa muda mrefu na akiwa ni chachu ya…

Read More

SIMBA YA JUMA MGUNDA YAWEKA REKODI DK 180

 NDANI ya dakika 180, Zanzibar, Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda ameshuhudia wachezaji wake wakishinda mechi zote mbili. Kwenye mechi hizo Simba haijaruhusu bao la kufungwa huku ikifunga jumla ya mabao manne, moja ni kwa pigo la penalti. Mchezo wa kwanza ilikuwa dhidi ya Malindi FC ambapo Simba ilishinda bao 1-0 huku mtupiaji akiwa ni…

Read More

HAJI MANARA AMPA PONGEZI ALLY KAMWE KUTEULIWA YANGA

ALLY Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga ameweka wazi kuwa baada ya kutangazwa rasmi kwenye Idara ya Habari na Mawasiliano alipongezwa na Haji Manara ambaye ni Msemaji wa Yanga. Ameweka wazi kuwa Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba naye alimpa pongezi. Septemba 27, Kamwe alitangazwa kuwa Ofisa Habari na Priva Abiud maarufu…

Read More

KUMEKUCHA, MZUNGU SIMBA KUCHUKULIWA HATUA STAHIKI

UONGOZI wa Simba kupitia kwa Mtendaji Mkuu Barbara Gonzalez umeweka wazi kuwa straika wao Dejan Georgijevic hajafuata taratibu kwenye suala la kuvunja mkataba wake. Nyota huyo maarufu kama Mzungu wa Simba, mapema jana Septemba 28,2022 kupitia ukurasa wake wa kijamii wa Instagram alibainisha kuwa amethibitisha mkataba wake wa ajira ndani ya Simba umesitishwa. “Ninathibitisha kwamba…

Read More

LIGI INAREJEA WACHEZAJI MUHIMU KUWA NA NIDHAMU

 REKODI kwa wachezaji wale ambao wanafungiwa mechi zao kutokana na kuonyesha nidhamu mbaya katika Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2022/23 haipaswi kupewa nafasi. Wakati mwingine kwa sasa ni mwendelezo wa ligi baada ya muda wa mapumziko kutokana na mechi ambazo zilikuwa zinaendelea kwenye timu za taifa. Ukweli ni kwamba kurejea kwa ligi ni muhimu…

Read More