MTANZANIA IBRA CLASS ATAMBA KUMDUNDA MMEXICO
BONDIA nyota wa Tanzania, Ibrahim Class ametamba kumchapa mpinzani wake Gustavo Pina Melgar kutoka Mexico katika pambano la kimataifa lililopangwa kufanyika kwenye ukumbi wa Mlimani City. Pambano hilo limeandaliwa na Kampuni ya MO Boxing, ikiwa ni mara ya kwanza kwa kampuni hiyo chini ya mfanyabiashara maarufu, Mohammed Dewji. Class amesema kuwa baada ya kukaa nje…