![JONAS MKUDE AMETUPIA MBELE YA PRISONS](https://salehjembe.co.tz/wp-content/uploads/2022/09/Mkude-goal.jpg)
JONAS MKUDE AMETUPIA MBELE YA PRISONS
JONAS Mkude, kiungo wa kazi ndani ya Simba amepachika bao pekee la ushindi mbele ya Tanzania Prisons dakika ya 85 na kuipa pointi tatu muhimu. Ulikuwa ni mchezo huru kwa timu zote mbili ndani ya dakika 90 kwa kila timu kutengeneza mashambulizi ya kushtukiza katika kusaka ushindi. Dakika 45 zilikuwa ngumu kwa timu zote mbili…