SINGIDA BIG STARS YABANWA NA DODOMA JIJI

MEDDIE Kagere ni miongoni mwa nyota walioanza kikosi cha kwanza kilichopangwa na Kocha Mkuu Hans Pluijm mwenye tuzo ya kocha bora kwa mwezi Agosti. Mchezo huo wa ligi umechezwa Uwanja wa Liti,baada ya dakika 90 ubao umesoma Singinda Big Stars 0-0 Dodoma Jiji. Mchezo wa leo Dodoma Jiji wamekamilisha wakiwa pungufu baada ya nyota wao…

Read More

SIMBA KUWASILI DAR LEO

KIKOSI cha Simba leo Septemba 11,2022 kinatarajiwa kuwasili Dar kikitokea Malawi ambapo kilikuwa na mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. Ulikuwa ni mhezo wa awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Nyasa Big Bullets, uliochezwa Septemba 10,2022 na ubao wa Bingu ulisoma Big Bullets 0-2 Simba. Mabao ya Moses Phiri na John Bocco yalitosha…

Read More

AZAM FC KUWAFUATA MBEYA CITY

KIKOSI cha Azam FC, kesho Septemba 12 kinatarajia kuibukia Mbeya kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kuikabili Mbeya City, Uwanja wa Sokoine, Mbeya Septemba 13. Huo utakuwa ni mchezo wa tatu kwa Azam FC kucheza ndani ya ligi kwa msimu wa 2022/23 baada ya kukamilisha mechi tatu. Mechi mbili walicheza Uwanja wa Azam Complex na…

Read More

NABI ANAAMINI KAZI HAIJAISHA KIMATAIFA

NASREDDINE Nabi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema bado kazi ipo kwenye mchezo wao ujao wa kimataifa dhidi ya Zalan FC. Jana, Septemba 10, ubao wa Uwanja wa Mkapa baada ya dakika 90 ulisoma Zalan 0-4 Yanga huku wafungaji wakiwa ni Fiston Mayele aliyetupia mabao matatu na mzawa Feisal Salum aliyefunga bao moja. Ushindi huo ulipatikana…

Read More

JUMA MGUNDA AFICHUA ALICHOWAAMBIA WACHEZAJI

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amesema aliwaambia wachezaji wacheze mpira jambo lililowapa matokeo chanya. Jana, Simba ikiwa ugenini iliambulia ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo uliokuwa na ushindani mkubwa dakika 90. Mabao ya Moses Phiri dakika ya 28 na John Bocco dakika ya 81 yalitosha kuipa ushindi timu ya Simba kwenye mchezo wa awali…

Read More

STAA WA CITY HAALAND AITWA UNITED

HIVI karibuni, staa wa Manchester City, Erling Haaland akiwa anakatiza mitaa ya Jiji la Manchester, shabiki mmoja wa Manchester United alisikika akimwambia ‘njoo United msimu ujao’. Shabiki huyo alikuwa akimfuata Haaland huku akimpigia kelele za kumtaka ahamie United. Ikumbukwe kwamba nyota huyo aliwahi kutajwa kuingia kwenye hesabu za United wakati anatoka RB Salzburg akasajiliwa na…

Read More

NAMBA ZAKO ZA BAHATI ZINAWEZA KUBADILISHA KILA KITU LEO KWENYE KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET

Keno ni moja ya mchezo ambao umejizolea umaarufu zaidi kwa urahisi wake na kuwatoa kimaso maso washindi. Nyumba ya mabingwa, Meridianbet, inakupa fursa ya ushindi na Keno. Bahati Nasibu ya Keno Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet imekusogezea bahati nasibu kupitia mchezo wa Keno. Keno ni mchezo wa namba ambao mchezaji anachagua namba 10 kutoka kwenye…

Read More