
SIMBA QUEENS KUSAKA UBINGWA KIMATAIFA LEO
SIMBA Queens leo ina kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya She Corporate ya Uganda kwenye mchezo wa Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, ukanda wa Cecafa. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa leo Agosti 27 Uwanja wa Azam Complex saa 1:00 usiku na ikishinda itatwaa ubingwa huo kwa mara ya kwanza. Kocha Mkuu wa Simba Queens, Sebastian…