KOCHA WA MABINGWA WA LIGI YA MABINGWA ULAYA AONYA
BOSI wa mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Ulaya amewaonya mastaa wake kwa kuwaambia kwamba wanapaswa kuongeza umakini. Carlo Ancelotti amewaambia wachezaji wake kwamba wanapaswa kuongeza umakini kutokana na mazingira ambayo wapo kiushindani. Timu hiyo imepangwa Kunid F na timu za RB Leipzig, Shakhar Donetsk na Celtic. Kocha huyo anakumbuka kwamba msimu uliopita timu hiyo…