SportsSAUTI:MZUNGU WA SIMBA ANA KAZI NZITO YA KUFANYA Saleh2 years ago01 mins NYOTA mpya wa Simba, Dejan ana kazi nzito ya kuweza kufanya kwa msimu wa 2022/23 hasa kwenye nafasi ya ushambuliaji ambayo yupo huku akishindwa kuonyesha makeke kwenye mechi mbili ambazo amepata nafasi ya kucheza Post navigation Previous: YANGA WAPINDUA MEZA MBELE YA POLISI TANZANIANext: MBWANA SAMATTA NI KRC GENK