
TEN HAG AAMBIWA ALIKOSEA KUPANGA KIKOSI
CHAMBUZI wa masuala ya michezo Jamie Redknapp amemlaumu Kocha Mkuu wa Manchester United,Eric ten Hag kwa kipigo cha mabao 4-0 dhidi ya Brentford ugenini kwenye mchezo wa Ligi Kuu England uliochezwa Jumamosi. United walipata tabu kwenye mchezo huo kwa mabao ya Josh Dasilva,Ben Mee,Bryan Mbuemo na Mathias Jensen. Licha ya kwamba kuna makosa ya washambuliaji…