VIDEO:MAKI AZUNGUMZIA KUHUSU AISHI MANULA,BOCCO ATOA NENO
MAKI Zoran,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Yanga huku akimtaja Aishi Manula kuwa ataukosa mchezo huo wa Ngao ya Jamii kwa kuwa bado hajapona
MAKI Zoran,Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa wapo tayari kwa ajili ya mchezo wa kesho dhidi ya Yanga huku akimtaja Aishi Manula kuwa ataukosa mchezo huo wa Ngao ya Jamii kwa kuwa bado hajapona
JESUS Moloko kiungo wa Yanga kesho anatarajiwa kuweza kucheza kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa. Kiungo huyo alikwama kuanza kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Vipers SC ya Uganda wakati Yanga ilipopoteza kwa kufungwa mabao 2-0 Uwanja wa Mkapa. Nasreddine Nabi,Kocha Mkuu wa Yanga amebainisha kwamba watacheza…
KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula kesho anatarajiwa kuukosa mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga kutokana na kuwa bado hajawa fiti. Manula alipata maumivu kwenye mchezo wa kimataifa wa timu ya Taifa ya Tanzania dhidi ya Somalia uliochezwa Uwanja wa Mkapa. Kwa mujibu wa Kocha Mkuu wa Simba, Zoran Maki amesema kuwa…
KUELEKEA kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii unaotarajiwa kuchezwa kesho Agosti 13 Uwanja wa Mkapa tayari sti ya waamuzi imewekwa wazi. Mchezo huo ni maalumu kwa ajili ya ufunguzi wa msimu wa 2022/23 unaotarajiwa kuanza Agosti 15,2022. Kwa upande wa mwamuzi wa kati ni Elly Sasii akisaidiana na Mohamed Mkono ambaye atakuwa msaidizi namba moja….
UONGOZI wa Yanga umemtakia kila la kheri Hassan Bumbuli ambaye alikuwa ni Ofisa Habari wa timu hiyo. Taarifa rasmi ambayo imetolewa na Yanga imeeleza kuwa mkataba wa Hassan Bumbuli umekwisha hivyo hataongezewa mkataba mwingine. Bumbuli alikuwa ni Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ndani ya kikosi cha Yanga ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine…
AGOSTI 13 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga v Simba kuna nyota ambao itakuwa ni dabi yao ya kwanza. Chini ya Zoran Maki wachezaji hao ni pamoja na Moses Phiri aliibuka Simba akitokea Zanaco. Pia yupo Nassoro Kapama mzawa kutoka ndani ya Kagera Sugar. Habib Kyombo mzawa kutoka…
AGOSTI 13 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuchezwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga v Simba. Ni saa 1:00 usiku mchezo huo unatarajiwa huku kila timu ikiwea wazi kwamba inahitaji kupata ushindi. Kwa Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kuna mastaa wapya ambao itakuwa ni mara yao ya kwanza kucheza mchezo wa Kariakoo…