SIMBA KUMENYANA NA BIG BULLETS
WASHINDI namba mbili wa Tanzania kwenye Ligi Kuu Bara, Simba wataanza ugenini kumenyana na Big Bullets ya Malawi. Hiyo itakuwa ni kwenye hatua ya awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika inayotarajiwa kuchezwa kati ya Septemba 9-11. Mshindi wa mchezo huo anaweza kukutana na mshindi wa mchezo kati ya Red Arrows ama De Agosto ya Angola….