SIMBA KURUDI KWA KASI MSIMU UJAO,NYOTA WAPYA WATAJWA
SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba amesema kuwa usajili ambao umefanywa kwa ajili ya maboresho ya kikosi hicho kunawafanya warudi msimu ujao wakiwa na kasi nyingine. Nyota sita wametambulishwa Simba ikiwa ni wazawa wawili ambao ni Habib Kyombo na Nassoro Kapama huku wageni ikiwa ni Moses Phiri, Mohamed Outtara,Victor Ackpan,Auhgustine Okra. Matola amesema kuwa kwa namna ambavyo…